MwanzoTL0 • FRA
add
Tesla
Bei iliyotangulia
€ 378.45
Bei za siku
€ 370.00 - € 383.95
Bei za mwaka
€ 131.00 - € 465.25
Thamani ya kampuni katika soko
1.25T USD
Wastani wa hisa zilizouzwa
elfu 9.00
Uwiano wa bei na mapato
-
Mgao wa faida
-
Ubadilishanaji wa msingi
NASDAQ
Kwenye habari
Fedha
Taarifa ya Mapato
Mapato
Mapato halisi
(USD) | Sep 2024info | Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita |
---|---|---|
Mapato | 25.18B | 7.85% |
Matumizi ya uendeshaji wa biashara | 2.28B | -5.55% |
Mapato halisi | 2.17B | 16.95% |
Kiwango cha faida halisi | 8.61 | 8.44% |
Mapato kwa kila hisa | 0.72 | 9.09% |
EBITDA | 4.06B | 35.55% |
Asilimia ya kodi ya mapato | 21.59% | — |
Taarifa ya Hali ya Kifedha
Jumla ya mali
Jumla ya dhima
(USD) | Sep 2024info | Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita |
---|---|---|
Uwekezaji wa pesa taslimu na vipindi vifupi | 33.65B | 29.03% |
Jumla ya mali | 119.85B | 27.58% |
Jumla ya dhima | 49.14B | 24.58% |
Jumla ya hisa | 70.71B | — |
hisa zilizosalia | 3.21B | — |
Uwiano wa bei na thamani | 17.35 | — |
Faida inayotokana na mali | 5.84% | — |
Faida inayotokana mtaji | 8.32% | — |
Mtiririko wa pesa
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
(USD) | Sep 2024info | Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita |
---|---|---|
Mapato halisi | 2.17B | 16.95% |
Pesa kutokana na shughuli | 6.26B | 89.09% |
Pesa kutokana na uwekezaji | -2.88B | 39.63% |
Pesa kutokana na ufadhili | 132.00M | -94.17% |
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu | 3.62B | 409.14% |
Mtiririko huru wa pesa | 2.23B | 244.90% |
Kuhusu
Tesla, Inc ni kampuni ya teknolojia ya Marekani inayojulikana zaidi kwa kuzalisha magari ya umeme na teknolojia ya uhifadhi wa nishati. Ilianzishwa mnamo mwaka 2003 na mjasiriamali Elon Musk na wengine, na imekuwa ikiongoza katika mapinduzi ya magari ya umeme. Tesla pia inajihusisha na uzalishaji wa betri za lithiamu-ion kwa matumizi ya gari, pamoja na kutoa suluhisho za uhifadhi wa nishati kwa matumizi ya nyumbani na biashara.
Tesla, Inc nimashuhuri kwa mifano kama vile Tesla Model S, Model 3, Model X, na Model Y, Tesla imekuwa ikiendeleza teknolojia mpya ya usafiri inayohusisha uwezo wa kuendesha gari kwa kutumia mfumo wa kujitegemea wa Tesla, unaojulikana kama Autopilot. Kampuni hiyo pia ina miradi kadhaa inayohusiana na nishati mbadala, kama vile jua na nishati ya upepo.
Tesla imekuwa mojawapo ya kampuni inayoongoza duniani katika sekta ya magari ya umeme na imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa katika kusukuma mbele mabadiliko ya usafiri endelevu. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
1 Jul 2003
Tovuti
Wafanyakazi
140,473